uandishi co tija,msaada kwanza ndipo unikosoe,typing error tu iyo that's why we are not completely perfect,hvo uenda nami ndo weakness yangu ipo apoHuu uandishi sasa pasua kichwa unaonaje ukamilishe kwanza somo la kuadika ndiyo uje huku.
hapana sijawai sikia ila namna watu wanavoizungumzia wanaonesha kwamba aiwezi kuwa salama kutokana na mataifa wanayoizungukaIran ni sehemu salama kwa kuishi kwa watu wenye maadili na wenye nidhamu ya hali ya juu...
Ushawahi sikia tukio gani lisilo la kiusalama huko?
From what I knw ni nchi inayoendelea kwa kasi interms of technology
Jifunze kuandika kwanza.
Mkuu Iran ilikuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa miaka mingi sana,ila kwa sasa vikwazo vimeondolewa na Iran itakuwa juu tena kiuchumi.navipI kuhusu gharama za maisha kwamba ni ghali kuliko ata tanzania kutokana na pesa yao kukosa thaman,kwamba unaweza kua na ata dola 4 kwa siku ukashndwa kuafford gharama za chakula?