usijalisana
Member
- Jan 31, 2019
- 26
- 9
Habari wanajukwaa, natumai wote mko poa. Shida yangu naomba kufahamishwa ikiwa kuna usafiri wa treni kuanzia Dar to Shinyanga na ni sh. ngapi na inachukua muda gani. Wassalam
Panda bus mkuu au una nauli hafifu?
Panda gari unaweza ukapoteza hata wiki njiani na gharama ikazidi hata ya nauli ya gari.Habari wanajukwaa, natumai wote mko poa. Shida yangu naomba kufahamishwa ikiwa kuna usafiri wa treni kuanzia Dar to Shinyanga na ni sh. ngapi na inachukua muda gani. Wassalam