Usafiri wa Mabasi ya Mikoani bado Changamoto Moshi to Bukoba

D___________Loy

Senior Member
Jan 21, 2020
158
131
Usafirishaji kutoka mji wa Moshi kwenda Bukoba via Babati na Kahama ni changamoto sana.

Wito: Ombi kwa kampuni nzuri za kisasa kuleta ushindani ili kuwatoa hawa wanaoshindwa kutoa huduma nzuri kwa abiria katika msimu huu wa SIKUKUU.

Regards.
 
Usafirishaji kutoka mji wa Moshi kwenda Bukoba via Babati na Kahama ni changamoto sana.

Wito: Ombi kwa kampunzi nzuri za kisasa kuleta ushindani ili kuwatoa hawa wanaoshindwa kutoa huduma nzuri kwa abiria katika msimu huu wa SIKUKUU.

Regards.

Huko mnatakiwa mpate mabus mazuri kama aboud, shabibi, Ally's, frester, satco, ratco. Mabus ya ukanda wa kaskazini hoi bin taaban, yani kaskazini mpo nyuma sana, mnakuaje na mabasi yamechoka!
 
Hee, mishomire nao wameanza kukumbuka nyumbani? Basi shule ya akina mangi inawaingia taratiiibu.
 
Back
Top Bottom