USA stock market

babalisa05

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
226
141
Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ?

Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc

Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
 
Hauwezi bila kuwa na Social Security Number (SSN) na Government ID. Hata hao mabroker ni wa mchongo tu utapigwa pesa. Inabidi ununue mwenyewe kupitia platform kama Fidelity, Robinhood, WeBull etc
 
Back
Top Bottom