US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

Suala ni what is contained in those emails... US wanajaribu kuficha uozo wa Dems,white hackers wamefichua maovu,badala kudeal na maovu unadeal na whistleblowers, what a shame to Us Intel......Putin is smarter,he knows how to change the direction when the tides are too strong
 
Reactions: SMU
Lakini usisahau kwamba mpaka leo hii hakuna ushahidi wowote ule ambao hao Intelligence walioutoa kwamba Urusi alihusika kwamba namna ama nyingine!
But someone did it, when your house is broken into and thief has stolen precious items from it, who will be your first suspect?
 
I am anti-Trump, actually I don't like the geezer at all... but this debate about hacking is really embarrassing. Nimekua kwenye forums ambapo Warusi huchangia, aisei wanawacheka sana Wamarekani na huu upumbavu wao.

Agreed.

That is not something you admit publicly. It is political propaganda 101.

That's why I think there is some political motivation behind it [admitting publicly].

And whenever politics gets involved in something everything else goes out the window.

I don't think for a second if Russia was to be hacked by America Putin would handle it the way Obama has handled it.

I believe he'd deal with it clandestinely.

But because of the acrimonious nature of US politics, sometimes their weaknesses are laid bare for the whole wide world to see.

Not smart at all.
 
But someone did it, when your house is broken into and thief has stolen precious items from it, who will be your first suspect?


Kama nilivyosema mpaka leo hii hao intelligence hawajaweka ushahidi wa kuonyesha kwamba Urusi ilifanya wanavyoishutumu na ndo maana wanashindwa kumshawishi D.Trump, hawana ushahidi zaidi ya kusema tu, hilo ndo tatizo, kama wangekuwa na ushahidi hata US public ingekuwa upande wao na D.Trump ange-bend tu!
 
Caught red- handed? Stupid! Has Russian not succeeded in making Trump the US President-elect?
Hahaaa that idiot thinks around 1 meter ahead, if this rumour is true, then I appreciate the power of Putin that he can do anything to the US, if a person has managed to impart a fellow whom he wants then later you claim there was a problem, where were you by then?
Putin has accomplished his mission.
 
Alisema..i will not stoop to kitchen diplomacy...sio chicken diplomacy
 
Then what will be the next action by Obama's US towards Vladmir ?
Wataishia kulalamika tu ?
Kama walikuwa wanatafuta Sababu ya Kumvamia kivita Putin naona wamekuta kiberiti kimejaa.
Kama wanakiri Mifumo yao imekuwa Hacked na Russian Military Inteligence then Obama's US inakiri kuwa Russian Millitary Inteligence ina akili kubwa kuzidi CIA,FBI na NSA.
 
Putin anajua kama wamemkamata, baada ya Obama kuwafukuza 35 Russian Diplomats, Putin naye akatunisha msuli akasema na yeye atawafukuza Wamarekani kwa namba ileile! Mbona baadae aliamua kuwa mpole tu akasitisha zoezi!
putin ni smart na hataki kumpa wakati mgumu Trump.
Lengo lake ni ku normalise uhusiano wake na marekani ili dunia iwe mahali salama pa kuishi,
tatizo msimamo wa obama ni kwamba Russia lazima iwe nchi adui mpaka siku watakapoweza kuicontrol wao na hivyo kubaki superpower peke yake
 

Nawashangaa wanao shabikia usanii huu, kudi lote la Hillary awana uwezo wa kufanya lolote, come 20th January Trump akingia ofisini atahakikisha anapukutisha wapambe wote wa Obama,Hillary ndani ya CIA na mashirika mengine ya kijasusi nchini mwao - wapambe hao wote waondoke na Obama watafute shughuli nyingine ya kufanya.
 

Well said mkuu, na hiki na
ndicho kinacho endelea sijui kwa nini baadhi yetu atulioni hilo!

Operation ya Syria imewadhilishia baadhi ya Majenerali wapenda vita wa jeshi la Merikani kwamba Jeshi la Urusi limerudi kwenye peak ya awali kwa kishindo - mambo ya Taifa moja kujiona kama a lone ranger au a Son of a gunfighter yameyeyuka kama barafu - from now on linapokuja suala ya Geopolitics Merikani ikubali kwamba itakuwa vigumu kufanya lolote la maana bila ya kushirikiana/shauriana na Urusi as equal - amani ya kudumu itapatikana mataifa haya mawili yakianza kuheshimiana - wenye nia thabiti wa kutekeleza suala hilo ni Trump na Putin.

Madai ya leo ya Jopo la wakuu wa ujasusi nchini Merikani una lengo la kuhadaa Dunia kwamba Trump hakushinda kihalali i.e si chaguo la raia wa Merikani amekuwa planted na Serikali ya Urusi - uzushi mtupu.
 
Putin anajua kama wamemkamata, baada ya Obama kuwafukuza 35 Russian Diplomats, Putin naye akatunisha msuli akasema na yeye atawafukuza Wamarekani kwa namba ileile! Mbona baadae aliamua kuwa mpole tu akasitisha zoezi!
We mtu muongo sijapata kuona, lini Putin alisema kuwa anawafukuza wanadiplomasia wa Us?.....
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa FBI imethibitisha kuwa raisi wa Urusi Vladmir Putin aliamuru kuingiliwa kwa uchaguzi wa Marekani kwa vyombo vyake kufanya udukuzi wa matokeo yaliyompa ushindi Donald Trumph kwa madai kwamba alikuwa na chuki na Bi. Hilary Clinton.

What next?
Je uchaguzi wa Marekani utafutwa na kurudiwa?
Tunajifunza nini kuhusu Mataifa ya nje kuingilia chaguzi za nchi zingine kama Tanzania?
 
Mimi naona sawa kabisa hii report itaisaidia sana US kujiandaa vema kipindi kingine.
Kufanya kosa si kosa bila kurudia kosa ndio kosa
 
Reactions: kui
Mi naona US wanajidharirisha wenyewe, inamaana kitengo chao cha IT ni vilaza hivo hadi wadukuliwe na warusi?
 
We mtu muongo sijapata kuona, lini Putin alisema kuwa anawafukuza wanadiplomasia wa Us?.....

Uwe unafuatilia habari za Kimataifa! Baada ya Obama kuwapa 72hrs wanadiplomasia wa Urusi, Putin nae akasema angewarudisha wanadiplomasia wa Marekani katika namba ileile, 35. Usiwe unabisha na kuita watu waongo bila kufanya utafiti! Putin alibadilisha mawazo ndio akawaalika wanadiplomasia wa Marekani na familia zao kwenye Christmas party!
 
Reactions: BAK
Uhusiano wa Trump na Putin unamaanisha Putin atakua anamshikia akili Trump.
Its like Kagame na Jafari JUMA PASKALI MANGUNGO
 
Washauri wa Rais Putin pamoja na mawaziri wake walimshauri Putin ajibu mapigo kwa namba ileile.

Lakini kwa busara /Hekima alizokuwa nazo Vladimir Putin akaona bora amsubilie rais mteule ambaye ni Trump ili apate kujua sera zake na hili jambo litasuhulisha vp...??
Na kama akiona mambo ni yaleyale basi mapigo atayajibu tuu
 
Espionage mataifa yote makubwa Yanafanya na katika taarifa za makachero hazisemi kwamba Russia wamehack system ya upigaji kura ila wameinfluence watu through dnc leaked email to public which they cant prove hii yote nikusave faces kwa issue sio who did what? Bali Ni contents ya leaked email ambayo imeharibu reputation ya Dems
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…