connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,177
- 3,017
Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi (cold room)? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port?
NB: nalazimika kukodi trucks za MAERSK kutokea Mombasa hadi njombe Kubeba Parachichi tu.
NB: nalazimika kukodi trucks za MAERSK kutokea Mombasa hadi njombe Kubeba Parachichi tu.