Urafiki haukomi kwao wapendanao

Aaah
Mbwa wetu hawa wa manzese mara kazunguka kwenyw dampo, sjui kafukuzwa anaiba samaki kwa mama mwanaisha.
Asee haez kuja kulala hivo na mtoto, kwanza nikimkuta anafukuzwa
 
Kuna siku wife alisema ole wako nimuone mbwa wako amekaa kibarazani. Nkamwambia je akilala karibu na mtoto pamoja kama wazungu. Akasema ntazimia kwa hasira. Akamalizia na hii kauli yako katema na mate


Na mimi natema mate, poo.

Sie Waswahili Kiongozi.

Wazungu akili zao wanazijua wenyewe.

Yaani Wazungu ni hamnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…