fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,241
Wamarekani na Wayahudi wametengeneza makundi mahsusi ya kusumbua kila Taifa la Kiarabu lililo thabiti, unategemea nini !? Umewahi kujiuliza ISIS wanapata wapi silaha na vifaa !??Ama hakika mataifa ya kiarabu yanaongozwa na viongozi wapumbavu kwelikweli,badala ya kupambana na adui yao mkubwa israeli hivi sasa wanamalizana wao kwa wao kwa visingizio vya udini lakini ukweli ni uroho,wizi wa mali ya umma ndio kinachowasumbua.Mataifa yao kama iraq,libya,saudia,yemeni na irani wamo kwenye ugomvi wa kiendawazimu.Haya wajinga ndio waliwao
Kwanini Usianzishe Mada tofauti na hiiUmesahau upumbavu wa mataifa ya Africa
Halafu adui mkubwa wa Mataifa ya kiarabu ni Israel ?? Nlikua sijui
Ficha Upumbavu wako..... Usichopenda wewe Wengine Wanapenda... Ndio tabia za kibinadamu huo u great thinker mtu hawezi kuwa nao kwenye kila wazo.... Tumeona MaProfessor wakichemsha n.k n.k... Wacha Mada ijadiliwe kila mwenye wazo lake atoe watu ndio wanapopunguzia stress na kujipatia stress pia hata kama ungekuwa mtu wa aina gani huwezi kuwa mtu serious kila wakati sometimes mind zinataka ujinga ujinga na utani ucheshi burudani n.k sidhani wewe kama sometime hutamani kwenda Beach, kutazama sinema za uongo n.k nakushauri kama ukijiona una akili sana mwishowe huwa ni ujinga kwa wengine ufanyavyo.... Ndio Maana Magufuli anabomolea watu nyumba Wengine wanasikitika na wengine Wanakasirika.... ndio Ujue Binadamu wana Maoni Tofauti... Mimi Mtu mwenye akili awe amefanya kitu cha Maana kwa Jamiii au kuleta jambo either Jipya la kufaidisha Jamii na sio kuponda watu bila kufundisha kinacho stahili.... so Next time kama kitu kimekosewa kosoa na uweke maoni yako mazuri na sio kuponda na kusepa unakuwa mpinzani wa kupuuzwa kwa sababu huna mchango... so ni Bora kuficha Upumbavu wako... by InvisibleKweli jf saizi chaka la vichaa sio gt tena kama zamani
Mkuu Irani sio Waarbu either ungesema Nchi zenye Waislam wengiAma hakika mataifa ya kiarabu yanaongozwa na viongozi wapumbavu kwelikweli,badala ya kupambana na adui yao mkubwa israeli hivi sasa wanamalizana wao kwa wao kwa visingizio vya udini lakini ukweli ni uroho,wizi wa mali ya umma ndio kinachowasumbua.Mataifa yao kama iraq,libya,saudia,yemeni na irani wamo kwenye ugomvi wa kiendawazimu.Haya wajinga ndio waliwao