Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 236
Nilitafakari sana kichwa cha habari hii.
Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari.
Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi minyama nyama.
Nilijiuliza sana bila majibu.