Nimeshawishika kuandika hili baada ya kuona vijana wanafunzi wa sekondari wakikokotwa na walimu wao na kupelekwa kujiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni jambo zuri vijana kupiga kura, lakini je, walimu wao wanaendelea kuwapa elimu ya uraia vijana hao ikiwemo kuchagua viongozi bora au wanaswagwa kama nyumbu na hawajui kinachoendelea?
Je, vijana hao watakokotwa tena siku ya kupiga kura?
Mtakumbuka mwaka 2005-2015 upinzani ulichipua sana miongoni mwa vijana kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu.
Soma Pia:
Ugumu wa maisha, kutafuta vyeo, tamaa ya pesa na kubinywa kwa upinzani kumebadilisha mambo. Watu wengine wanaamua kuungana nao ili maisha yaende ndio maana kwa sasa vijana wamekuwa bendera fuata upepo, kikubwa wapate ridhiki.

- UVCCM yataka upinzani kuacha kulalamikia uandikishaji wa wanafunzi
- Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura