chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,081
- 1,437
Upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo, haujengwi juu ya kupinga kanuni wala taratibu ambazo kimsingi kiongozi yeyote anatakiwa kuzifuata na kuzisimamia.
Juma lililopita vyombo vya habari vilionesha Mh. Zito kujihudhuru nafasi yake ya
Upinzani wa sasa Tanzania umetupiwa pepo mbaya wa ufisadi kutoka CCM....Yaani wakati Magufuli anatumbua majipu upinzani unakazana kutetea mafisadi....Upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo, haujengwi juu ya kupinga kanuni wala taratibu ambazo kimsingi kiongozi yeyote anatakiwa kuzifuata na kuzisimamia.
Juma lililopita vyombo vya habari vilionesha Mh. Zito kujihudhuru nafasi yake ya ujumbe wa kamati moja wapo ya bunge kutokana na harufu harufu ya rushwa, huu ni mfano wa upinzani halisi.
Wakati Mh. Zito anapoendelea kuonesha dhima ya upinzani halisi, wengine wanaonesha dhima ya kupinga taratibu na kanuni. Nawakumbusha tu, upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo ambazo kiongozi anaweza kuzionesha kiutendaji( practically) na sio maneno ya jukwaani.
wapinzani tujipange upya kwa hoja za kimaendeleo na si chokochoko za kisiasa.
Nakutakia Pasaka njema mkuuUpinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo, haujengwi juu ya kupinga kanuni wala taratibu ambazo kimsingi kiongozi yeyote anatakiwa kuzifuata na kuzisimamia.
Juma lililopita vyombo vya habari vilionesha Mh. Zito kujihudhuru nafasi yake ya ujumbe wa kamati moja wapo ya bunge kutokana na harufu harufu ya rushwa, huu ni mfano wa upinzani halisi.
Wakati Mh. Zito anapoendelea kuonesha dhima ya upinzani halisi, wengine wanaonesha dhima ya kupinga taratibu na kanuni. Nawakumbusha tu, upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo ambazo kiongozi anaweza kuzionesha kiutendaji( practically) na sio maneno ya jukwaani.
wapinzani tujipange upya kwa hoja za kimaendeleo na si chokochoko za kisiasa.
siasa yenye upinzani halisi inaendana na wakati, muda wa siasa za show up, umepitwa na wakati, wanasiasa wabadilikeKama Zitto amejiuzulu nafasi yake ndani ya kamati ya Bunge kwa tuhuma za Rushwa then Kamshauri ajiuzulu na u Bunge kabisa kupisha uchunguzi kuonesha u zalendo wake
Otherwise Issue ya kuwa hataki kule bali anataka Kamati nyingine ina hold.
ni thread mkuu sio threat..Kwa tz tatizo sio upinzani, tatizo ni wapgakura wetu, ntafafanua huko mbele kwa kuandika threat maalum
Huu utetezi wako hauendani na Mfano wako kwa Zito kwa kujiuzulu kwake ujumbe wa kamati ya huduma za kijamii.siasa yenye upinzani halisi inaendana na wakati, muda wa siasa za show up, umepitwa na wakati, wanasiasa wabadilike
nlitaraji mtu 1 atasema hivyo ulivyosema, ni vyema tufikie sehem wakati wa kuchangia maoni tuwe tunaweka sura zetu, maana kama ningekuwa nakuona ningejua umri wako,Kama Zitto amejiuzulu nafasi yake ndani ya kamati ya Bunge kwa tuhuma za Rushwa then Kamshauri ajiuzulu na u Bunge kabisa kupisha uchunguzi kuonesha u zalendo wake
Otherwise Issue ya kuwa hataki kule bali anataka Kamati nyingine ina hold.
Note
Ni kujiuzulu na sio kujihudhuru
Huo ni utaratibu wa wapi ?nlitaraji mtu 1 atasema hivyo ulivyosema, ni vyema tufikie sehem wakati wa kuchangia maoni tuwe tunaweka sura zetu, maana kama ningekuwa nakuona ningejua umri wako,
ila cha kukusaidia tu huo ndiyo wajib wa mbunge kwenye kamati au uwazir, ikitokea kukawa na tuhuma, narudia TUHUMA, huwa ni vyema kuachia ngazi ili uchunguzi ufanyike, na ikithibitisha kuwa unahusika juu ya tuhuma hzo( kwa ya mamlaka zinazohusika) unapoteza ubunge outomatically, kwa hyo kuwa mvumilivu..
Uncle umeeleweka vizuri sana.Upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo, haujengwi juu ya kupinga kanuni wala taratibu ambazo kimsingi kiongozi yeyote anatakiwa kuzifuata na kuzisimamia.
Juma lililopita vyombo vya habari vilionesha Mh. Zito kujihudhuru nafasi yake ya ujumbe wa kamati moja wapo ya bunge kutokana na harufu harufu ya rushwa, huu ni mfano wa upinzani halisi.
Wakati Mh. Zito anapoendelea kuonesha dhima ya upinzani halisi, wengine wanaonesha dhima ya kupinga taratibu na kanuni. Nawakumbusha tu, upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo ambazo kiongozi anaweza kuzionesha kiutendaji( practically) na sio maneno ya jukwaani.
wapinzani tujipange upya kwa hoja za kimaendeleo na si chokochoko za kisiasa.
Umeona eeeeeiiiUpinzani wa sasa Tanzania umetupiwa pepo mbaya wa ufisadi kutoka CCM....Yaani wakati Magufuli anatumbua majipu upinzani unakazana kutetea mafisadi....
hahahaACT wazalendo ni chama chenye hoja mbadala na chanya......with time kitashika hatamu za chama kikuu kishiriki katika kuleta maendeleo baada ya kijani