WABALLA Inc JF-Expert Member Sep 2, 2014 2,711 1,015 Mar 4, 2016 #1 Habari wana jukwaa? Naomba kujua ni upi mfuko mfuko mzuri wa mafao kwa waajiriwa wa sekta binafsi?
P. Majaribu JF-Expert Member Jun 2, 2014 1,195 621 Mar 4, 2016 #3 WABALLA Inc said: Habari wana jukwaa? Naomba kujua ni upi mfuko mfuko mzuri wa mafao kwa waajiriwa wa sekta binafsi? Click to expand... NSSF ukiacha kazi unaweza kuondoka na hela nzuri kuliko PPF.
WABALLA Inc said: Habari wana jukwaa? Naomba kujua ni upi mfuko mfuko mzuri wa mafao kwa waajiriwa wa sekta binafsi? Click to expand... NSSF ukiacha kazi unaweza kuondoka na hela nzuri kuliko PPF.