Updating huawei ascend P6

kijumbamshale

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
267
87
Jamani naomba msaada wa jinsi ya ku Update huawei ascend P6 kutoka android 4.2.2 kwenda 4.4.4
asanteni
 
Ngoja waje mimi mwenyewe nahitaji kufahamu kama y530 ninaweza kui update.
 
Kumbe siku hizi matoleo mapya ya OS hayana system requirements?
 
Jamani naomba msaada wa jinsi ya ku Update huawei ascend P6 kutoka android 4.2.2 kwenda 4.4.4
asanteni

kaka ni rahis sana coz mimi yangu nshaifanyia tayar..labda sema firmware yake inaishia na ngap?mfano yangu ilikuwa n b118..ukshasema ntakuelekeza hatua had hatua mpaka uwe kit kat na emui 3 coz huwa inakuja na emotion ui .6 kama skosei
 
Ui 1.6 na kuna build number inaishia na B130 custom version inaishia na D 130
 
Huko hivi hizo namba ni firmware za nchi flan mfano UK, spain na nyingine unaweza weka yeyote unayotaka
 
Nenda google andika "download firmware huawei p6 B510" then uksha download fungua na copy folder lililoandkwa dload kwenye memory card yako then nenda sehemu ya update gusa menu chagua local update,au zma simu then bonyeza volume down na up,plus power button vyote kwa pa1 bla kuachia then itaanza ku update...ukshndwa ku download kama upo Dar nione nkupe hayo ma file ninayo yote had emui 3
 
Back
Top Bottom