Ndugu wanajamii forum Salam. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini anijuze. Viwanja vilivyopimwa vinapatikana sehemu gani kwa bei gani nna ipi ni sehemu nzur kujenga nyumba ya makazi Dodoma? Nitashukuru Sana. Hata aliye na uelewa wa upatikanaji wa viwanja Morogoro mjini nitashukuru Sana. Asanteni