A
Anonymous
Guest
Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi.
Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza kupandisha vifurushi vya TV bila kuwepo sababu yoyote ya msingi ya upandishwaji vifurushi hivyo.
Tunajiuliza upandishaji huu unatokana na mitambo mipya ambayo tuliona ikizinduliwa?? Je gharama za uwekezaji huo ni sawa abebeshwe mtumia huduma?
Linganisha Gharama za vifurushi vya muwekejazi wa nje yaani DSTV na huyu muwekezaji wa ndani AZAM, Kwanini anawaumiza wananchi kwa gharama kubwa sana za vifurudhi il hali yeye ni muwekezaji wa ndani na anapata ahueni ya punguzo la kodi tofauti na mwekezaji wa kigeni?
Kuna haja ya hawa watoa huduma kujitafakari na kucha tamaa ya kupata mali ya haraka wakati mwananchi wa chini akiendelea kuumizwa na gharama hizo.
Nashauri mamlaka itupie jicho watoa huduma kama hawa wanaowaumiza wananchi kwa maslahi yao binafsi.