Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,914
30,975
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu

Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika

Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili

Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.

Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari

Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga

Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
 
YANGA N TAASISI INAYOHESHIMIKA INAYOJIHESHIMU

SIDHANI HUUU UHUNI UNAOTOKEA KWENYE REDIO ZA HESHIMA UKIFANYWA NA HAJI MANARA KAMA UNAKUBALIKA

HAIWEZEKANA TAASISI MOJA IKAWA NA ASEMAJI WAWILI

ALI KAMWE ANA HAKI KUIMBA KUJIUZULU HAMWEZI KUMKALIA KIMYA MPAKA SASA HAJI AKITAMAKA YEYE NDIE MSEMAJI WA YANGA

KAMA MNAWASEMAJI WAWILI TUNAOMBA MAMLAKA ZA UONGOZI ZITOE TAMKO PLS MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

NA KAMA N MMOJA MTOE TAMKO NA MUMWONYE HAJI MANARA KUJITANGAZ
 
HAIWEZEKANA TAASISI MOJA IKAWA NA ASEMAJI WAWILI. . HAYA MAMBO HAYAVUMILIKI HII SIO SIMBA
Simba tena? Mbona Simba ina msemaji mmoja?

1722345374326.png
 
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu

Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika

Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili

Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.

Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari

Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga

Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
Inawezekana tu sema wawe na mgawanyo wa majukumu ili huku nje kwa maana mashabiki wafahamu nani atasimamamia majukumu fulani mfano atakaye kuwa na kipaumbele katika kuzungumza na kuhamsisha na mwingine awe meneja wa kitengo hicho cha habari ndani ya klabu
 
Tokea Manara atoke kifungon, naona nyuzi za kuponda nyingi sana humu😀Inaonesha jamaa ni tishio sana upande ule
 
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu

Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika

Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili

Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie msemaji wa Yanga.

Kama mnawasemaji wawili tunaomba mamlaka za uongozi zitoe tamko pls mbele ya waandishi wa habari

Na kama ni mmoja mtoe tamko na mumwonye Haji Manara kujitangaza yeye ni msemaji wa Yanga

Haya mambo hayavumiliki hii sio Simba
SASA HAPA UMECHANGANYA. MPAKA SASA SIMBA INA MSEMAJI MMOJA TU SISI WANAFIKA WATATU. MUACHE AJE AONGEZEE NGUVU. HAJI UNAJUA SIMBA WALIMWACHA SISI TUKAMPOKEA SASA UNATAKA AENDE WAPI?ACHA ROHO MBAYA WEWE MDOGO WA ALI KAMWE
 
Tokea Manara atoke kifungon, naona nyuzi za kuponda nyingi sana humu😀Inaonesha jamaa ni tishio sana upande ule
Wala Simba hatuna haja ya kumuanzishia uzi, wanaoanzisha ni utopolo wenzio. Soma uzi huu wa Pdiddy
 
Back
Top Bottom