GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,043
- 119,616
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala hatujashangaa kwa Kilichotokea na Kinachojificha.
Hivi Meneja wa Timu utamuingizaje Beki kabla ya Kocha Mkuu kukupa Amri tena ukiona Timu tayari imeshatangulia kwa Goli 4 kwa 1?
Hivi Kocha Msaidizi Matola unatoa wapi Maamuzi ya Kulazimisha lazima Beki Pascal Wawa acheze tena baada ya mara Mbili nzima kwenda katika 'touchline' kwa Kocha Mkuu Pablo Kumshauri aingie na akakukatalia na Kusisitiza kuwa kwakuwa Timu iko mbele na dakika zimebaki chache hivyo waingie Wachezaji Vijana na ambao hata hawajawahi Kucheza Mechi za Ligi tokea wasajiliwe Simba SC?
Udhaifu mkubwa wa Kocha Matola na Swahiba wake Mkuu Meneja Rweymamu ni ule ule ambao pia utaukuta kwa Makocha wengine Wazawa kama Mkwasa, Kihwelo na Minziro ambapo Kwanza hupenda 10% kutoka kwa Wachezaji wanaowapanga, hupenda Kugawa Wachezaji, Wachonganishi wa Makocha Wakuu na Viongozi wa Vilabu au Mashabiki, wapenda Majungu, wana Wivu na Chuki, Washirikina wa Kipuuzi na hupenda Kula Bata na Wachezaji vipenzi wao.
Hakuna asiyejua kuwa Kocha Msaidizi Matola ni Mshkaji ( Rafiki ) mkubwa na Beki Pascal Sergi Wawa na muda mwingi huwa Wanalewa nae pamoja Juliana au Beach Kidimbwi Mbezi Beach na kisha Kununua 'Migoma' ya kwenda Kuibandua na mara nyingine pia utawakuta Yombo au Temeke wakienda Kununua Sigara Bwege ambapo Matola alipokuwa Mchezaji aliitumia sana ila kwa sasa Pascal Wawa amemrithi Kimatumizi.
Vile vile hakuna Mtu wa Simba SC asiyemjua Meneja Rweymamu kuwa ni Mtu mpenda Makuu, anapenda Mamlaka ya zaidi ya Kocha Mkuu, ana Dharau zilizovuka Kiwango halafu ni Bingwa wa Kuwashawishi Wachezaji Waharibu ( Wachomeshe ) ili Kocha Mkuu Mgeni afukuzwe.
Kuna Siku hapa hapa JamiiForums baada ya Msaliti Mkuu namba Moja Haji Manara kuhamia Yanga SC GENTAMYCINE nilisema kuwa bado kuna Virusi ( Wasaliti ) Wawili na ipo Siku isiyo na Jina nitakuja Kuwataja hadharani nikidhani kuwa Wahusika wangejirekebisha.
Kama kuna Wasaliti Hatari ndani ya Simba SC yetu na wameshatuponza na Kutufitini kwa Mechi za Ligi Kuu ( hasa ya mwaka tulipocheza na Yanga SC ) na hata zile za Kimataifa CAF CL kwa kutoa Siri zetu za Kambi na Maandalizi kwa Maadui zetu basi ni Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu na hili wala halina Ubishi kwani Watu wa Simba SC tunalijua na hata Marehemu Zackaria Hanspoppe alilikemea na Kukwazika hili sana tu.
Uongozi wa Simba SC kwa hiki kilichotokea leo baina ya Kocha Mkuu Pablo na Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu naomba muwaondoe ( muwafukuze ) haraka kwani kwa ninavyowajua na kwa alichokifanya Kocha Pablo ni lazima Watamhujumu kwa Kuwashawishi Wachezaji wacheze chini ya Kiwango na Wachomeshe Timu ifungwe ili afukuzwe na Wao waendelee tu Kuula Klabuni.
Kocha pekee wa kubakia hapo Simba SC ni huyo Thiery Hitimana ( Raia wa Burundi ) na Wengine walioko katika Benchi la Ufundi ila siyo akina Matola ( Kocha Msaidizi ) na Rweymamu ( Meneja ) halafu kwakuwa Simba SC tunajivunia kuwa Timu yetu ni ya Kimataifa na inaendeshwa 'Professionally' basi hebu ruhusuni Kocha Mkuu Pablo achague wa Kubaki ( Kufanya ) nae Kazi na ikiwezekana basi Yeye Mwenyewe alete Wasaidizi wake kutoka ama Kwao Hispania au huko Uarabuni alikokuwa akifundisha.
Namuunga mkono 100% Kocha Pablo!!!!