Uongozi wa Simba SC mnaweza kutuambia Ziara yenu majuzi Bungeni ilikuwa ya nini mkijua bado tuko Vitani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,291
120,348
Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
 
Timu ina mechi ngumu ndani ya siku moja ikaenda kupongezwa kidogo bungeni kama tayari wameshashinda Ligi vile 😀 Wenzie wanashinda kwanza ndiyo wanajichanganya bungeni,ikulu.. wenyewe tofauti alama 1 wakajiona champions tayari 😂😂😂
 
Attachments

  • GaqIM8gB.jpeg
    GaqIM8gB.jpeg
    93.9 KB · Views: 2
Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
Kwa hiyo sio nyota ya Alhamis tena, ni ziara ya bungeni?
 
Back
Top Bottom