Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
16,300
27,489
Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje.

Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na Diva, inakula wiki kama mbili tena
 
Back
Top Bottom