stabilityman
Senior Member
- Jul 9, 2024
- 199
- 351
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena.
Katoa pesa kwenye mshahara wake sio?View attachment 3050511
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
ukisikia matango pori ndo hayo sasa.Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena.
Utakuwa umetumwa wewe sio Bure 🤔View attachment 3050511
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi