Uongozi Uliotukuka Ni Mzigo Mzito Mnoooo

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
1,183
1,083
Uongozi uliotukuka si wa kukimbilia

Uongozi uliotukuka si wa kuupata kwa fedha/mali

Uongozi uliotukuka si wa kusheherekea

Uongozi uliotukuka si wa kujinufaisha

Uongozi uliotukuka si wa kujitajirisha

Uongozi uliotukuka si wa kupendelea ndugu/jamaa/marafiki

Uongozi uliotukuka si wa kung'ang'ania madaraka

Uongozi uliotukuka si wa kutokosolewa/sahihishwa

Uongozi uliotukuka si wa kununua madaraka
 
Uongozi uliotukuka hakurupuki, unakubali kukosolewa hauna kisasi, haufanyi maamuzi ya kumkomoa mtu .............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…