Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 457
- 830
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee walikuwa wanajua muda tuu ila mimi nimeambiwa last week. Iko hivi.
Yule kijana ni mtu ambaye alijitunza maisha Yake yote, Yani ni wale watu wa mimi se*y mpaka ndoa, Yani hakugusa KE yoyote kipindi Cha maisha yake ya usingle.
Sasa kwa taarifa nilizopata ni kuwa kipindi Cha uchumba, Bibie aliulizwa kuwa bikira ipo?
Ndugu yetu akajibu yeye anayo. Kijana inasemekana alisisitiza sana, akapewa majibu hayo.
Sasa baada ya ndoa kifungwa Tena ya kanisani, shemeji akakuta hakuna kitu. Ulibuka mgogoro baina Yao.
Mimi kwa kipindi chote nilikuwa sijui kwamba Kuna hio ishu. Hata wazee wameambiwa na baba mdogo mwezi wa 6 mwaka huu. Maana baada ya mgogoro kuibuka, Baada ya wao kuangaikia sana swala Hilo.
Bibie alimwambia kuwa yeye aliipoteza kipindi yupo secondary na baada ya hapo yeye Kawa kiumbe kipya baada ya kuachana na Tabia hiyo, majibu ambayo kijana aliyakataa.
Sasa ugomvi ulifika mpaka kwa mchungaji , na wazee wa kanisani kwao ila ilishindikana kusolve.
Sasa wakaamua kuita wazazi pande zote mbili ila still ulishindikana. Akaitwa mpk mchungaji aliyefungisha ndoa, ila wapi, Na kwa kipindi hicho Bibie yeye analia, Hana Cha kufanya , sasa nafikili kuwa anaona aibu.
Sijajua muhimu upo wapi kusolve hio ishu.
Mimi nimeambiwa last week na wazee nimeshangaa sana, sasa sijajua Bibie anahali gani mpka sasa maana kusolve imeshindikana.
Soma Pia: Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu
Jamaa alitaka mwezie aliyefanana naye. Sasa nimeambiwa wachungaji wakamwambie tuu Bibie kuwa kama ulishaipoteza maana yake ilishaondoka Yani haipo Tena , kurudi kwa BWANA anakusamehe ila ishatoa kurudi hairudi so haukupaswa kumwambia uhongo.
Na kingine bibie anasema yeye alifikili anamtania tu(utani).
Nikipata mrejesho zaidi nitaleta wakuu.