Uongo upi usio na maana umewahi kutanana nao kwenye Filamu?

Wild Flower

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
334
691
Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana.

Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona wewe mjinga na unapoteza muda kuangalia.

Wewe ni filamu gani umekutana nayo ina uongo mpka unareka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom