Uongo mwingine bwana

Jimy elioth

Member
May 23, 2015
23
20
Jamani uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz.
JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani?
MAMA: Mm naitwa Asha
JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo sikuuwi, na ww baba unaitwa nani?
BABA: Mm naitwa Athuman lakin kazin wamezoea kuniita asha kama marehem mama yako.
 

Mbavu jamaniiiiiii!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…