lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 18
- 23
Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo
Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km 18km/l na tangu nianze kuzimiliki huwa napata 10km/l imezidi 11km/l mpaka sasa huwa najiuliza haya maneno ni kweli watu wanavosema au mm ndo sielewi
Note nimejaribu mpaka kuto kuendesha gari rough lakin sikuona mabadiliko
Wenye uzoefu na gari hizi ndogo msaada kidogo ili nipate majibu ya research zangu mpaka nimeona bora ninunue gari kubwa maana hamna maana ya kumiliki vits unywaji sawa na prado ☺️☺️☺️