Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

Nadhani wewe ndio hujasikiliza Au tu ni fan sana wa WCB ila ni copy.
 
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.

Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.

Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Bado atujapata mshindani wa Uno!
 
yani diamond na konde wanatuchezea akiri sana wanatengeneza image ya kuwa wao bro habari ya mjinga kiba kapotezwa huu mchezo wenye akiri tushauelewa kitamboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…