Ungekuwa wewe ungefanyaje? miaka 7 bila...

Curvyminx

Senior Member
Nov 29, 2016
179
221
mke wa pastor alia mahakamani akiomba divorce. reason? hajapata unyumba miaka 7! saba! miaka saba hajapata service ya papuchi! loh! sijui alikuwa anafanya nini ule mwaka wa kwanza but if it were me...
 

Attachments

  • IMG-20170203-WA0014.jpg
    83.9 KB · Views: 49
Hiyo maana yake miaka saba ametembea nje ya ndoa sasa ameshachoka!!
Anaitaka ya mmewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…