kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,739
- 4,729
Mwaka 2018 Mimi na aliyekuwa mke Wangu tuliachana na kwa bahati mbaya mwenzangu akaolewa na mwanaume mwingine baada ya kuachana kwetu.
Mimi nikaendelea na maisha yangu
Lakini cha ajabu uyo mke Wangu ana mdogo wake ambaye mpaka kwasasa udungu Wangu na yeye hautaki kuisha kabisa.
Mke Wangu aliniachia mtoto wa kiume kwasasa ana miaka 7. Sasa huyo mdogo wake na huyo aliye kuwa mke Wangu kila siku ana kuja nyumbani kwangu kumpikia uyo mtoto chakula kitu ambacho sikumuomba kabisa mpaka imefika hatua namuachia funguo za nyumbani kwangu.
Na nikirudi nakuta tayari kafanya usafi Na kuniachia chaKula kwa ufupi amekuwa kama Mama mwenye nyumba Sasa kasoro sijakata kiwi
Maana naona huu ni mtego.