Ungekuwa raia wa nchi nyingine ungeielezea vipi Tanzania ya sasa kwa mstari mmoja tu?

Watanzania wanapenda kupelekwa na upepo.

Natolea mfano tu. Kesho magazeti yakichapisha wema anamimba ya jakaya Kikwete. Mada zote hasa hili jukwaa la siasa zitabadilika zote. Nirudie tena zoooote.
 
Asume we siyo mtanzania, ungeielezea vp tanzania ya sasa kwa jinsi unavyosikia kwenye vyombo vya habar na social networks


Kuwa Tanzania ni nchi nzuri sana Afrika na inaonyesha mfano kwa nchi nyingine Afrika kuwa, Yes Africans can, why not? Lazima tumpongeze rais wetu kwa kutumbua madudu, Tanzania si nchi masikini....watu wachache wanakula hii nchi na kutufanya watanzania wengi kusihi maisha duni wakati nchi yetu ni tajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…