Unga na Wasanii nini sababu

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
ukifatilia sana kwa wasanii wengi kujikuta wakiwa katika matatizo ya kuzidiwa na Unga na pia almost wengi kuingia huko wengi wao kwa kutokujua na wengine kwa kujua na mpaka kufikia kiwango cha kuyaharibu kabisa maisha yao, na baadhi maisha yao yasipoharibiwa na Unga wanaharibiwa na HIV sababu kubwaaaaaa ni Ushirikina waganga na hii kitu ambayo sasa hivi inaonekana kama imezoeleka na wengine hata kusema eti tuache hizo mtu akiwa na mafanikio kidogo utasikia freemason or illuminat but the truth is kweli freemason na illuminat kwa sasa wanawatumikisha sana wasanii wetu na kuwapa mafanikio kidogo then kuyachukua na kuwaacha wakiaibika

maana hio ndio dhima nzima ya shetani hajawahi mpenda mwanadamu yeyote wala hatakaa ampende sasa unakuta wasanii wengi kwa mfano wale wa zamani utakuta walikua hawawezi kufanya kitu bila mganga wa kienyeji au wachawi kwenye kutoa nyimbo kwenye stage na kila kitu sasa hivyo vyote haviji na kukaa kwako forever kama MUNGU anavyotoa bali huya kwa muda shetani akipata wale anaowataka then anachukua na kuwapa wengine


thats why unakuta trend ya wasanii kuanguka ni kubwa sana mfano wakina mr nice, ray c,na wengine wengi unakuta wanapotea tu na hio trend bado inaendelee na sasa ndio inashika kasi zaidi i mean iko more advances kuliko ilvyokuaya zaman kutoka kwa wanganga pekee wengi wanaingia kwe baba yao mwenyewe illuminat na bible imeandikwa unawajua kwa signs na maneno yao,mfano angalia video ya jide utaona hayo ma signs nawaambia then kwa sasa kaka yao mkuu ni Diamond juzi hapa wameona fuvu wakalipotezea as if its nothing na ngalia macheni ya ke anayo vaa na signs za vidole utagundua nini nawaambia hapa na Diamond ndio ana wa initiate na hawa wa bwana wadogo kwa hio label yake but guys plse pray for this guy and others as much as you can lets help them

na kwa vijana msitaman mafanikio msio yajua ya watu huko kwa road wewe jitume fanya kazi kwa bidii then the rest muachie Mungu akupe alichoweza kukuandalia katika maisha yako

I,M DONE.
 
Unga wanakula wengi Mkuu sema wasanii wanajulikana ndio maana wakiharibikiwa inajulikana haraka
 
Sababu ni nyingi,lakini kwa uchache ni :-

1.Kuiga.
2.Mawazo.
3.Kupewa bila kujua (wanaovuta bange/bangi kwenye makundi wamenipata)
4.Kujiona wanapesa nyingi,hivo anataka kila starehe awe ameipitia.
 
Sababu ni nyingi,lakini kwa uchache ni :-

1.Kuiga.
2.Mawazo.
3.Kupewa bila kujua (wanaovuta bange/bangi kwenye makundi wamenipata)
4.Kujiona wanapesa nyingi,hivo anataka kila starehe awe ameipitia.
Iyo namba 4 ni kweli. Na ndio wengi wa mamtoni wanaangukia hapo. Maana mtu anakua na hela nyingi lkn hana matumizi anaona a2mie kny drugs. % kubwa wasanii wa mamtoni wana2mia ngada waki overdose ndo wanaitwa marehemu. Lkn wenze2 kule wana2mia grade 1 huku za bei chee mapumba ndo maana wanakua machizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…