MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,010
- 9,858
Ugonile..
Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu]
Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa wamebook Ommy Dimpoz, Majizzo na timu yao [bodyguards to be specific]
Luckily villa aliokua anakaa tulikua jirani sana kiasi ambacho mtu akiwa anatoka au anaingia upande wa pili ukiwa kwenye Balcony anaona kila kitu.
Siku anacheck-in alikua peke yake na mpenzi wake ndo baadae akina Majizzo wakafuatia, so nikiwa natoka kwenda excursion nilishangaa kumwona anatembea na huyo mpenzi wake wakiwa wameshikana viuno tukapeana tu hi pale kila mtu akaendelea na ratiba zake.
Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
My Take: Privacy is power, endeleeni kumhisi ni upinde maana hamumpunguzii wala kumwongezea chochote kwenye maisha yake..!