Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Nchi za Afrika zinakabiliwa na shinikizo zaidi la kutafuta mikakati ya kupambana na janga la Corona. Huku ulimwengu ukiwa mbioni kutafuta chanjo na tiba ya ugonjwa wa Covid 19 ambao umeathiri kila kona ya ulimwengu.
Nchi kadhaa za Afrika zikiongozwa na Madagascar zimevumbua dawa za kiasili au kuzifanyia majaribio kuona kama zitaaangamiza virusi vya Corona.
Leo jioni katika matanagazo ya Dira ya Dunia tunaangazia mchango wa dawa za mitishamba katika kupambana na janga hili. Unaziamini dawa za kienyeji, unadhani Waafrika watafanikiwa kujipatia ufumbuzi wa janga hilo, Wana uwezo na maarifa ya kuviangamiza virusi vya Corona?