Unaweza kuchora picha za 3D kwenye flat paper?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,630
4,251
9079454403_1c8dde0cbb_b.jpg

http://www.mymodernmet.com/profiles/blogs/ramon-bruin-jjk-airbrush-optical-illusion-drawings
 
yeah nimependa hizi picha, natamani nipate sehemu vijana wangu wadogo wajifunze kuchora
 
dah! fine art was the only subject which i didn't even look at.
lilikuwa kituo cha polis kwangu.
 
Umenikumbusha sana wakati huo nachora vikaragosi vya IDCC Ilboru Sec....
 
dah! fine art was the only subject which i didn't even look at.
lilikuwa kituo cha polis kwangu.

Umenikumbusha aisee hata mm nilikuwa nawashangaa walivyokuwa wanasoma namkumbuka mwalimu Hemedi enzi hizo Ashira Girls. Duuh kumbe ningesoma tuu.
 
Umenikumbusha aisee hata mm nilikuwa nawashangaa walivyokuwa wanasoma namkumbuka mwalimu Hemedi enzi hizo Ashira Girls. Duuh kumbe ningesoma tuu.

heheheheh! kumbe unamjua hadi Mr Hemedi??
alikuwa anajua kuchora ile mbaya.mie nilimkimbiaga nikaenda kwa mwl Chao na Kaale na nani yule mwingine kusoma cookery.
however needlework lilikuwa ni darasa bomba sana kwa waliosoma
 
Back
Top Bottom