ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,531
Aisee Jana nimekutana na brother mmoja anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba ulimi na ni muda mrefu sasa anaendelea na tiba ila hajapona nimeona huruma sana haongei analia anadai mwanamke wake alimloga ila me nikasema Nika tafute mtandaoni chanzo cha huo ugonjwa nikakuta unaitwa Glossitis na ni hali ambayo ulimi wako huvimba.
Sababu zilizotajwa ni nyepesi za kawaida so inaweza kukutokea hata wewe wamesema ni pamoja na allergy pia maambukizi tu ya kinywa hasa ikiwa una kinywa dry. Matibabu ya glossitis inategemea sababu, lakini inaweza kujumuisha antibiotics, kubadili chakula na kuboresha usafi wa mdomo.