BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,124
- 10,923
Mwishoni mwa utawala wa Mkapa kuna hoja ziliibuliwa na watawala walio kuwa kazini na wastaafu nchi hii kuhusu hatima ya kizazi chao kwenye utawala wa nchi hii, Hofu yao ilikuwa ni kwamba huenda kizazi chao kikaja kupotea kabisa na kufutika kwenye Taifa hili.
Hoja yao ni kwamba wao wameijenga nchi kwa jasho hivyo kizazi chao kinapaswa kuendelea kufaidi natubda, Hapa kizazi chao ni watoto wa watawala na chain yao yote ikiwemo wajukuu na kadhalika.
Hii wazo liliibuliwa kwenye vikao vya Chama wakati huo chini ya Mkt wao Hayati Mkapa. Hoja nasikia iliibuliwa kwa mara ya kwanza na Raisi Mstafu Mwinyi na ikapenyezwa kwenye wazee wa Chama wastafu na walio kuwa kazini.
Hoja zikapata nguvu sana na hakuna mstafu wala aliekuwa kazini alie pinga hata mmoja. Mkapa akapelekewa hoja akiwa kama Mkt wa Chama wakati huo na yeye akaunda kamati ya Siri, hii haikutangazwa kokote kule, Kamati iliongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu John Malechela, na ikawa na viongozi kama wakina Hayati Kingunge, Cleopa Msuya na wengineo. Maoni yakakusanywa kutoka kwa familia zote za watawala waliostaafu na walio kuwa madarakani na repoti ikakamilika Oktoba 2004 mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu.
Hoja zilizo ibuliwa zikatengenezwa vizuri zikabakia tatu pekee, na ndizo ndizo zilipelekwa kwenye kamati ya Siasa ya Siri.
1. Watoto wao wapewe upendeleo maalumu kwenye teuzi zote kwenye nchi hii hasa teuzi zile zenye heshima kulingana na majina ya wazazi wao.
2. Watoto wao wapewe upendeleo kwenye kugombea nafasi za kisiasa, yaani kama kuna upinzani kwenye kutafuta mgombea ndani ya Chama basi Jina la Mazazi wa mgombea lipewe kipaumbele cha kwanza.
3. Watoto wao wasio kuwa na mpango wa siasa wala kuteuliwa na wanataka kufanya biashara basi wasaidiwe na kupewa upendeleo pale ambapo itabidi.
Hoja zilipitishwa na ikashauriwa kwa sababu Mkapa anastafu basi hataweza kuimplement na badala yake Raisi atakaye fuatiwa ndio afanyie kazi. Raisi alie kuja ni Kikwete.
Na huu Mkataba Mwitongo huwa mgombea wa CCM alie patikana huwa ana kabidhiwa kabisa.
Kikwete alianza kuiimplement hasa kwenye teuzi na wakati wake watoto wa wastafu wakifanya Biashara sana, wengi hawakupenda teuzi kabisa bali kufanya biashara, na kilicho onekana mfano hata watoto wa watawala aka Wastafu wengi hawakupendelea kazi za ukuu wa wilaya walitaka kazi hasa za Kibalozi au basi kufanya kazi kwenye Balozuli za Tanzania hasa Ulaya na Marekani pekee.
Baada ya Kikwete kumaliza muda wake akaja Magufuli, mwanzo alikubaliana na Mkataba Mwitongo ndio pale akawateua wakina January Makamba wakina Nape na wengineo kuwa Mawaziri. Ila alianza kutilia shaka mkataba hasa kipengele cha watoto kufanya biashara make walikuwa Kodi hawalipi na kontena wanapitisha bure pale bandarini.
Baadae Magufuri alikuja tibuliwa nyongo na hao wastafu kukumbushia teuzi zaidi pale ndipo aliwajibu live kwamba hautambui huo mkataba na akautupilia mbali, na hii ni baada tu ya kumuondoa Janury kwenye nafasi ya Uwazir wa Mazingira na pia kuwa amepiga pinu Bandarini na pia TRA.
Ile simu ya Nape sijui na Kinana na wakina Makamba kisa kikuu ilikuwa na baada ya Magufuri kuwa amevunja rasimi mkataba Mwitongo na hii iliwakasirisha wastafu wengi sana kwa sababu hata huko Umoja wa Mataifa na kule European Union makao makuu ambako ndipo hasa walijazana hawa watoto wa wastafu walianza kuondolewa kimya kimya, kuna ambao akaunt zao zilifungwa na TRA wakachota pesa za kodi.
Mawasiliano ya Nape na Kinana hayakuelezwa hadi mwisho ila sababu kuu ni baada ya Magufuri kuvunja mkataba Mwitongo, hii iliwakasirisha sana wastafu.
Baada ya Kifo cha Magufuli sasa alie fuata yaani Samia kwanza aliomba samahani kwa Wastafu wote kwa mtangulizi wake kuvunja mkataba Mwitongo na akaahidi kuutekeleza kwa kiwango ambacho hakijawahi fanywa hata na Kikwete na sasa ndio hizi teuzi mnazo ziona.Kumbuka kuna teuzi live na kuna nafasi ambazo hutasikia zinatangazwa kokote kule, hasa zile za siri au kazi Umoja wa Mataifa na kule EU.
Hata Makongoro Nyerere kuja kupewa Ukuu wa mkoa ni sababu hio, ingawa Magu yeye aliona kwamba wale watoto wa Mwasisi ni kama hawabebeki vile.
Ukiona watu kama January hawaguswi now ni kwa sababu ya mkataba Mwitongo.
Kwenye mktaba Mwitongo kwenye siasa watoto wa wastafu wanakuwa wanapewa upendeleo maalumu ndio maana unawaona wanaongezeka sana kwenye Ubunge, ukigombea nafasi ndani ya Chama na Mtoto wa mstafu wewe hesabu hutoboi labda report ionyeshe huyo mtoto wa Mstafu hawezi ongoza, na hii ndio iliwatokea watoto wa Nyerere pale Butiama 2020 make waligombea Ubunge ndani ya Chama ila report ikaonyesha hawabebeki hivyo wakapotezewa.