Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa mkononi, katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.
Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza kihuni huku akiimba...."jambo ! Jambo Kenya ! Karibu Kenya hakuna matata.
Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza kihuni huku akiimba...."jambo ! Jambo Kenya ! Karibu Kenya hakuna matata.