Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 628
1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi.....
2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote......
3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela......
4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe......
5. Anaependa "Tit for tat" , Hujamtafuta na yeye hakutafuti.........
6. Mwaminifu ila anamazoea na wanaume wengi........
Wewe Kama mwanaume ungechagua yupi kati ya hawa??👇