Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,750
Nipo Mwanza jijini - Igoma,Mmmh
Hellow wapendwa,
kama una mtaji wako mzuri wa kuanzia biashara za azam zote nikimaanisha maji,(buguruni),soda carbonated soft drinks(mwandege),juices (vingunguti),na vinginevyo,ushauri na kila kitu,pita hapa.
Nitakusaidia popote pale ulipo pande yoyote ya Tanzania,hata nje ya Tanzania.
Karibuni.
Si bora uchukue bidhaa za jambo ni nafuu zaidinipo geita wilaya ya bukombe nahitaji hiyo kitu
kuna tofauti hapo,mimi si agent wala muuza duka,nataka nikufanye uwe AGENT,nivitu viwili tofautiSasa tunakupataje labda, ungerahisisha kama ungeweka na mawasiliano yako. Halafu tujulishe wewe ni agent wa AZAM au ni muuzaji wa duka la jumla unataka mzigo utoke fasta.....fafanua please chuchu16
karibu wa manyara...weka namba ya cm nko manyara
kaaribu kibanga...utashushiwa tu,fata maelekezoWeka namba mimi nataka unishushie mzigo kwenye stoo yangu
sio tatizo,ila bidhaa zinatofautiana ubora,sijakulazimisha,karibu bidhaa bora za bakhresa..Si bora uchukue bidhaa za jambo ni nafuu zaidi
Asante..we uko manyarakaribu wa manyara...
karibu hesbonenipo geita wilaya ya bukombe nahitaji hiyo kitu
hapana,niko dar es salaamAsante..we uko manyara