Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 827
Damn!My favourite place ever...Windhoek ya saba , nipo hapa Catalunya
Inamana hupajuiWapi?!
Cjui km umenifikishaInamana hupajui
Hahahaaaa! Leo nimekupata huna ujanja.Cjui km umenifikisha
Unataka kunifikisha huu mwaka mpya uwe mzuri?Hahahaaaa! Leo nimekupata huna ujanja.
Akaaa! Umeshazowea kunichokoza leo ilikuwa zamu yako.Unataka kunifikisha huu mwaka mpya uwe mzuri?
Mtt leo umekuja na dhamira nzuri kweliAkaaa! Umeshazowea kunichokoza leo ilikuwa zamu yako.
MmmhhhhhMtt leo umekuja na dhamira nzuri kweli
Mkiamka kesho watupu hamna hata ndururu.
Inatakiwa mjue kuna maisha baada ya mwaka mpya hivyo mnywe kwa kipimo.
acheni ulevi mwaka 2017 fanyeni maendeleo say no to alcoholism
Wacha tuenjoy wakati uliopo hayo mambo ya kesho ni mbali mnooo