Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?

Cheeeeers
 
Unajua akili ndogooz kushinda akili kubwa ni ngumu mazafantaazz u know?

Baada uende kuupokea mwaka church we unaupokea bar? Mazafantaaz walaahii nafwaaazzz uhahahaha -Le mutuz Nation
 
Wacha kuleta ulokole wako apa ndugu ebu peleka mahubiri yako ayo jukwaa na dini hapa ni moja moto moja baridi, Btw Waitress mletee Caste lite huyu mkuda
 
Unajua akili ndogooz kushinda akili kubwa ni ngumu mazafantaazz u know?

Baada uende kuupokea mwaka church we unaupokea bar? Mazafantaaz walaahii nafwaaazzz uhahahaha -Le mutuz Nation
Kila mtu na uchaguzi wake mkuu. Wengine ukiwaambia church ni sawa na tusi kama wewe unavyochukia pombe.
 
Unajua akili ndogooz kushinda akili kubwa ni ngumu mazafantaazz u know?

Baada uende kuupokea mwaka church we unaupokea bar? Mazafantaaz walaahii nafwaaazzz uhahahaha -Le mutuz Nation
Acha unaa wewe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…