Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
2,349
6,989
Wakuu habari.

Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za kutosha pamoja na sindano zisizo hesabika.

Nimelala hapa kwenye kitanda cha hospital

Je, wewe unasheherekea ukiwa wapi?

Nb:mke ana thamani kubwa lazima nitaoa asee, mimi siyo wa kuogeshwa na nesi
 
Pole kwa majanga
 
ukome...kutwa kuwananga wanawake...koma kbs uugue hadi mwaka mzimaa
 
Katika mademu zangu mpaka sasa hakuna aliyekuja kuniona. Nimeamini mademu siyo kitu kabisa labda uwe na mke uliyepewa na Mungu
pole sana madem achana nao ww piga mzigo tembea hata mke anaweza asikujali inategemea umeishi naye vipi...... leo kuna watu watapigiwa wake zao kwa sababu mbali mbali ikiwemo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…