DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 22,317
- 58,679
Hatari Sana.Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
Haya ni matokeo ya kuwatelekeza drop outs after standard 7 ambao ndiyo wengi zaidi kuliko walioendelea na masomoHuwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
Kama ambavyo wewe utavuna kwa kupiga punyeto. Siku ambayo utaoa ndio utavuna mkuu. Muda ni jibu tosha.avune alichokipanda, hakuna namna
Kuzubaa ama kutoa udenda ndiyo utamu wenyewe huo unaonunuliwa kwa pesa chafu.Nasikia utamu wake ni mara mbili ya kupizi na utamu unaoupata hudumu kwa zaidi ya sekunde 30.
Hawa jamaa ukiwaona kwakweli unaishia kuwahurumia tu.
Wakishajidunga wanabaki wamezubaa tu
naokoa pesaKama ambavyo wewe utavuna kwa kupiga punyeto. Siku ambayo utaoa ndio utavuna mkuu. Muda ni jibu tosha.
Kuna wengine huwa wanajidunga sindano mpaka kwenye uumeNavoogopa sindano,,ivi hua hawaumii
na hua wanazipata wapi,au ndo wakiotea moja ndo hio hio kila siku?