Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
22,582
59,641
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.

Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali

Kuna wazazi wanaumia
Kuna ndugu wanaumia

I hope one day nitafanya kitu in my society.

Screenshot_20240817-142409_1723893889412.jpg

It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
 
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.

It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
Haya ni matokeo ya kuwatelekeza drop outs after standard 7 ambao ndiyo wengi zaidi kuliko walioendelea na masomo
 
Nasikia utamu wake ni mara mbili ya kupizi na utamu unaoupata hudumu kwa zaidi ya sekunde 30.

Hawa jamaa ukiwaona kwakweli unaishia kuwahurumia tu.
Wakishajidunga wanabaki wamezubaa tu
Kuzubaa ama kutoa udenda ndiyo utamu wenyewe huo unaonunuliwa kwa pesa chafu.
Ni mara mbili ya kupizi na utamu anaoupata unadumu kwa zaidi sekunde 30.
 
Back
Top Bottom