Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,025
- 14,225
Habari zenu Wakuu,
Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo.
Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi Uchi-huyo Mtu lazima atachepuka na kwenda kutafuta wanyonya uke/uume.
Mazoea hujenga tabia wahenga walishasema, kwahiyo unapoanzisha mahusiano na mtu hakikisha kuwa mnaendana kitabia ili kuepusha lawama mbeleni.
Usione aibu kumuuliza Mpenzi wako mpya kuhusu maswala ya ngono, maana ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
Asanteni sana.
Mjanja M1 kwasasa napatikana New York City