Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

Unazeeka au nikuache kwanza? .

1983 - 40
1984 - 39
1985 - 38
1986 - 37
1987 - 36
1988 - 35
1989 - 34
1990 - 33
1991 - 32
1992 - 31
1993 - 30
1994 - 29
1995 - 28
1996 - 27
1997 - 26
1998 - 25
1999 - 24
2000 - 23
2001 - 21
2002 - 20
2003 - 19
Ulivyoviweka hapa vyote ni vitoto tu.....WANASESERE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
kawaida tu. Ukikaa kwa kutulia busy na maisha, utakuja kugundua age is really just a number. Why bother with something u gat nothing to do about it??
Unaweza kuwa na miaka 19 halafu moyo wako ni sawa na wa miaka 70 kwa mtu wa kawaida, halafu mtu mwingine ana miaka 70, lakini moyo wake ni sawa na wa mtu wa miaka 19 wa kawaida.

So age is complex.
 
Kwa wale hasa juu ya 28 kama mambo ni safi unaweza kujitegemea (sio lazima uwe tajiri), umeoa / kuolewa, una afya njema, n.k. wengi wanaishi maisha kwa stress chache

shida ipo kwa wale 28 na zaidi ni stress sana kama bado huwezi kujitegemea kiuchumi (hasa ukiwa na degree bila ajira), hujaoa au kuolewa, n.k
 
IMG-20231205-WA0076.jpg
 
Back
Top Bottom