Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na kushutumiana baina ya watu walio katika uchumba au ndoa inapotokea wamechelewa kupata mtoto bila kufanya maamuzi ya kwenda kupima kujua changamoto Iko wapi.
Hii inanikumbusha dhana ya Ubaya ubwela ambapo jirani wa rafiki yangu alikabiliana na changamoto kama hii akafikaia hatua ya kumtuhumu mke wake kuwa ndiye mwenye changamoto kwa kumthibitishia kwamba yeye hawezi kuwa chanzo cha tatizo kwani alishapata mtoto na mwanamke mwingine kabla hivyo kuamua kumtimua kwani walikaa miaka mitano mtawalia bila kujaliwa kupata mtoto.
Pia soma: Tamaduni zinasemaje kuhusu msaada kwa shemeji ambaye hajapata mtoto kupitia kwa mumewe
Cha kushangaza miezi Saba baadaye baada ya mwanadada huyo kubwaga manyanga akafanikiwa pata ujauzito na hadi sasa yupo kwa familia mpya ya watoto wawili.
My take: Uvumilivu katika ndoa ni muhimu, wanandoa wasinyanyapaliane inapotokea changamoto kama hii kikubwa kumshirikisha Mungu, na kwenda kupima ili kujua tatizo lilipo na kupata ushauri wa wataalamu.
Lipo swala linalochanganya wanaume waliowengi na kujiuliza je, ikiwa tatizo ni la mwanaume na akathibitishiwa hawezi tena sababisha atafanyaje na mtoto anamtaka?
Je, si inaweza kuwa sababu ya kudharauliwa na mke? Au hata kucheatiwa ukizingatia mke naye anamtaka uzao ukizingatia anawezashauriwa namashosti hasa kwenye harakakati za saloon ukizingatia kuwa kule hamna redio isipokuwa teach and talk!