Unamuona huyu Mwanamke?

Sep 9, 2024
70
250
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.


Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.


Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu m
FB_IMG_1729501842331.jpg
 
Kuwekeza kwa wanawake ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na vijana wa miaka hii.

Ni uwekezaji ambao huwa hauna Return On Investment (ROI)

Mpendezeshe wengine wamuoe bwege wewe

Kukitokea misunderstanding tu kati yenu utamsikia

"Kwani nilikulazimisha kunipa pesa na hivyo vizawadi vyako?"

"Jambo gani la maana uliwahi kunifanyia maishani?"

"Kwani umetumia shingapi kwangu mpaka mishipa ya shingo ikutoke
hivyo?"
Wewe kijana investor endelea tu kuwekeza kwa wanawake

You will learn the hard way

Never play fatherly or husband role on a girlfriend

Learn or perish
 
Kuwekeza kwa wanawake ni koja ya uwekezaji wa kipumbavu sana huwa hauna Return On Investment (ROI)

Kukitokea misunderstanding tu kati yenu utamsikia

"Kwani nilikulazimisha kunipa pesa au zawadi"

"Jambo gani la maana uliwahi kunifanyia maishani?"

"Kwani umetumia shingapi kwangu mpaka mishipa ya shingo ikutoke
hivyo."
Wewe kijana investor endelea tu kuwekeza kwa wanawake

You will learn the hard way

Never play fatherly ohusband role on a girlfriend

Learn or perish
Walamba nyapu hawawawezi kuielewa hii injili
 
Back
Top Bottom