B.olo Yeung
Uko sawa. Ila sidhani kama huyu jamaa bado yupo kwenye ulimwengu wa Filamu. Character yake ilikuwa ni ya unyama unyamani.B.olo Yeung
Kwanini umeweka nukta katikati ya neno la kwanza?
Jamaa alibeba pipa la mafuta akamrushia Dame!hahaha boooolo hivi yupo hai huyu jamaa?
Liandike wewe kama lilivyo uli-post, utajuwa kwanini.
Dooh life bana, waswahili wanakwambia Mwisho wa maji ni tope
Muone sasa
---- Yeung & Jean Claude Van Damme -Meeting 2011 - YouTube