Unamjua Tajiri Jeff Bezzo??

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
156
Ukiona amazon.com basi umemwona Jeff. Huyu ni mmoja wa matajiri wa Amerika. Alianzisha mtandao wa mauzo na manunuzi wa amazon.com, ukakua na sasa ni moja ya masoko (online market place) makubwa. Ametajirika na mshahara wake kwa sasa ni &85,000 kwa mwezi.

Cha kujifunza kutoka kwake: Tuichangamkie hii fursa ya internet/utandawazi kwani ni moja ya njia za kujipatia mafanikio makubwa. Nikiacha changamoto zake, nizungumzie faida za mtandao kwa upande wa biashara. Unaweza kununua bidhaa Marekani, ikatumwa hadi ulipo na ukaipokea, hapo utakuwa umeokoa mill 4 za usafiri kwenda marekani, mill 2 za matumizi ukiwa marekani lkn pia umepoteza muda ambao ungeweza kuutumia kuingiza pesa zingine. Hizo mill 6 ulizookoa je ni haba? Waweza kuzitumia kwa faida zaidi.
Nashukuru hata watanzania tumeanza kuzitumia hizi fursa, mdogomdogo tutafika. Mfano kuna member wa humu JF anaitwa Singo, huyu mtu amekuwa mwaminifu sana na anapata kipato kwa njia hiyo. Ameweza kuwasajilia watu kampuni kubwa na ndogo wakiwa mikoani, anafanya kwa uaminifu anapotumiwa hela na watu wasiomjua, kwa njia hii anaendelea kupata kipato!

Mimi ni mmojawapo, Singo sikumjua personal lkn niliona maelezo yake hapa JF https://www.jamiiforums.com/threads...ungano-wa-tanzania.331993/page-7#post-7702800 nikachukua namba yake nikawasiliana naye. Nikawa namtumia hela akanisajilia kampuni kwa uaminifu kabisa bila yeye kunifahamu na mimi simfahamu. Kwa kweli hii ni fursa nzuri inayoweza kumtajirisha mtu. Kwa ushahidi wa kampuni aliyonisajilia Singo ni huu www.kalumbilo.online hii ni kampuni inaendesha shughuli zake za kimtandao wa internet pia. Unaweza ukingia kweny fb fan page yetu pia https://mobile.facebook.com/Kalumbi...y-Co-Ltd-1566512176951506/?ref=bookmarks&_rdr
Hii nimetoa kama mfano wa jinsi fursa za internet na utandawazi zinavyoweza kuleta faida (nazungumzia faida tu).
Kwenye kampuni yangu aliyonisajilia Singo, pia tunaendesha kazi kwa uaminifu mkubwa, unakuta mtu hakujui humjui lkn anaweka mill 20 kwenye akaunt yetu ili tumwagizie gari Japan, na sisi tunamwagizia kwa uaminifu kabisa! Sasa kwa sababu ya uaminifu wetu, tumeanza kuona faida yake. Watu wanaongezeka kila siku na sisi tunaendelea kuwahudumia bila kufahamiana nao kwa sura, hii ndo fursa ya internet. Tuliowahudumia kwa uaminifu wapo wengi angalia hapa www.kalumbilo.online/testimonials
Ukiamua unaweza kuwa tajiri kama Jeff Bezzo founder and CEO wa amazon.com
 
Last edited:
unajipa promo....nani akupe milioni 20 hakujui na hicho kikampuni chako feki kisichokuwa hata na ofisi, acha utapeli
 
unajipa promo....nani akupe milioni 20 hakujui na hicho kikampuni chako feki kisichokuwa hata na ofisi, acha utapeli
Tumesajiliwa Brela na kupewa Certificate of Incorporation no 116636, Tunayo TIN na tunalipa kodi.
Tupo Quality Plaza, 2nd Floor, West Wing, along Nyerere Road.
P.o.box 100007,
Dar es Salaam.
+255-684-454-441
Wapo watu tuliowahudumia na tunaendelea kuwahudumia, tumewaweka na tunaendelea kuwaweka ktk website yetu www.kalumbilo.online/testimonials namba zao zipo unaweza kuwapigia uwaulize.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…