Ukweli ni upi mkuu?Sio kweli.
Siwezi kuamini labda undugu wa kulazimisha.Extended Family kwetu tz ni jambo la kawaida.uamin mkuu.
Kweli wewe ni Kichuminyi.Mtegemea cha ndugu hufa maskini.
Kila mtu atafute kwa jasho lake, ukisaidiwa sawa usipo saidiwa hakuna deni, kwani ni lazima?
anae mzungumzia kesha tumbuliwa#masamaki.Alizipataje hizo nyumba, kama ni ufisadi tuambie ili tumtaarifu mzee wa majipu
Unajua sababu zake ama unalima tu kuna ndugu wengine hawabebekiEbwana wanaJF mzuka!
Yaani hii kitu imeniuma sana. Unamiliki nyumba 78 tena za uhakika wengine wanadai thamani siyo chini ya million 100 kila nyumba na nyingine zaidi. Halafu mdogo wako anauza samaki Tandale na kuishi kwenye chumba cha kupanga. Ndio maana Magu hakukawia wala kupoteza muda kumtumbua aliposhika madaraka.
Mafish bana!